Aisha masanja

share your opinion. something and..

Aisha masanja

Post a Comment. Kiatu Media. Home Mawasiliano Download Nyimbo. Wadau pia wameshangazwa na ukimya unaoonyeshwa na viongozi wa Baraza la sanaa Tanzania BASATA juu ya hawa wasichana wanaojiita "Kanga moja, Kitu tigo na Baikoko" kwani wamekuwa ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwa jamii inayotuzunguka, wamekuwa wakizungu sehemu mbalimbali hapa nchini wakifanya matamasha tena katika kumbi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitambulika na afisa utamaduni pia anatoa kibali cha show husika!

Kiukweli inashangaza sana, hawa madada ukiwakuta wanacheza unaweza kuangalia pembeni kwa aibu! Sisi mtandao wa taarabuzetu. Share to Twitter Share to Facebook.

Hanifa maulid 'jike la chui' - Stop redi kadi (Official Video HD)

Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Idadi ya Waliotembelea. Search This Blog.

Julius Kambarage Nyerere. Tutakukumbuka Daima Jiunge nasi Zilizosomwa zaidi Ile nyimbo iliyoripotiwa hapo awali kufutwa katika studio aliyokuwa katumia kuirekodi Kepteni Temba, sasa ipo hewani baada ya kubadir Thabit Abdul sasa hii njaa!!!

Nyimbo:- Nipo kamili nimejipanga - Nyawana Matasht Huyu ndio Nyawana Kais mjukuu wa Chief Wasanii mbalimbali wamuaga Juma Mgunda Hashim Said wa Mashauzi Classic alia na Walimwengu Isome Status ya Salha Wa Hammer alivyoandika katik Hammer Q Kuachia Video ya "Tunapendana".

Off - Side Trick yapagawisha Bukoba. Bendi ya G5 Modern Taarabu kutambulishwa leo Tareh Funga Kazi Modern Taarabu yaja na Nne kali!! Salha Abdallah kuanza rasmi leo kuimbia King's ModPost a Comment. Kiatu Media. Home Mawasiliano Download Nyimbo. Aisha Masanja wa T. Mtandao wa taarabuzetu. Share to Twitter Share to Facebook. Newer Post Older Post Home.

Subscribe to: Post Comments Atom. Idadi ya Waliotembelea. Search This Blog. Julius Kambarage Nyerere.

Championship manager 2019 pc

Tutakukumbuka Daima Jiunge nasi Zilizosomwa zaidi Ile nyimbo iliyoripotiwa hapo awali kufutwa katika studio aliyokuwa katumia kuirekodi Kepteni Temba, sasa ipo hewani baada ya kubadir Thabit Abdul sasa hii njaa!!! Nyimbo:- Nipo kamili nimejipanga - Nyawana Matasht Huyu ndio Nyawana Kais mjukuu wa Chief Wasanii mbalimbali wamuaga Juma Mgunda Hashim Said wa Mashauzi Classic alia na Walimwengu Isome Status ya Salha Wa Hammer alivyoandika katik Hammer Q Kuachia Video ya "Tunapendana".Kiatu Media.

Home Mawasiliano Download Nyimbo. Baadhi ya wasanii wa 5Stars. Taarabu zetu umetaarifiwa kuwa, show itafanyika kukiwa na wasaani wote Nyota wa 5Stars kama:- Thabit Abdul a. Jiko la Jela a.

Syair datu sunggul sgp besok malam

The HERO. Wengine ni: Hammer Q Aysha Vuvuzela na wengine kibao watakuwepo. Aysher Vuvuzela akiwa na Mgeni Kisoda. Share to Twitter Share to Facebook. Newer Posts Older Posts Home.

Idadi ya Waliotembelea. Search This Blog.

Secret mother summary

Julius Kambarage Nyerere. Tutakukumbuka Daima Jiunge nasi Zilizosomwa zaidi Ile nyimbo iliyoripotiwa hapo awali kufutwa katika studio aliyokuwa katumia kuirekodi Kepteni Temba, sasa ipo hewani baada ya kubadir Feedjit Calendar. Powered by Blogger.

aisha masanja

Report Abuse. About Me Unknown View my complete profile. Popular Posts.

aisha masanja

Download hapa Nyimbompya kabisa zilizoimbwa na kundi linalokuja kutishia amani bendi kongwe hapa nchini kundi la Wakaliwao Modern Taaradan Nyawana Malkia wa Kinyamwezi. Pages Home Mawasiliano Download Nyimbo. K adri muda uendavyo ndivyo watu walizidi kufika ulipo msiba wa Nyawana Fundikira, maeneo ya Gongoni, Tabora mjini hapo jana. Hata hivyo mwili wake ulichelewa kidogo kuwasili mjini lakini watu waliendelea kujazana wakikaa juani bila taabu yeyote.

Hii ni ishara kuwa watu wa Tabora walimkubali sana Nyawana ambaye wao walipenda kumuita Mamaa Nyawana au Jembe!

Baada ya mwili kufika, japo ulichelewa ulifanyiwa maandalizi ikiwa pamoja na kuagwa kwa ndugu na jamaa walioko Tabora na baadae mida ya saa moja usiku. Thabit Abdul akishiriki katika kubeba Jeneza la marehemu Nyawana.

Taki Taki Song mp3 download

Said, mtoto wa kwanza wa marehemu Nyawana akifarijiwa. Hawa ni baadhi ya wafanyakazi wa Passion Fm na Ecoprint waliokuwa wakifanya kazi pamoja na marehemu Nyawana. Saida Mashauzi. Dida Mtangazaji wa Times FM.

Palabras para consolar a alguien que perdio un ser querido

Hashimu Said, msanii wa Mashauzi Classic.Dar es Salaam. Kila mtu anapoamua kufanya biashara huwa na matumaini ya kupata faida kwa kujipatia kipato kinachotosheleza kuendesha maisha yake na kufurahia biashara anayoifanya. Kufanikiwa zaidi sokoni ni kuifanya biashara kuwa bora tofauti na washindani. Ukishindwa kufanya hivyo, faida kwako inaweza kuwa kitendawili kigumu kisichoweza kuteguliwa. Ushawishi, ubunifu na kuongezea thamani, anasema ndilo jambo muhimu linalowashawishi wateja wake kupenda kuzitumia bidhaa zake.

Mama huyo wa mtoto mmoja aliyejikita katika utengenezaji wa viungo vya kuongeza ladha ya chakula ana miaka miwili tangu aanze shughuli hizo kwa Sh, baada ya kupata mafunzo kutoka Shirika la Kuendeleza Viwanda Vidogo Sido.

Anasema tangu aanze kutengeneza bidhaa hizo alilenga kuwa muuzaji wa jumla kwa watu wenye maduka makubwa. Kama ilivyo kwa wafanyabiashara wengine, soko halitabiriki. Anasema kuna wakati huwa linapanda na kushuka. Kutokana na faida anayoipata, anaasema mtaji wake umeongezeka hadi Sh2. Anasema biashara hiyo imekuwa ikimsaidia katika kuendesha maisha yake kwa ujumla, kukidhi mahitaji ya nje na biashara yenyewe kujiendesha.

Ili kuwafakia wateja wake, pamoja na kuendeleza uhusiano na wale alionao, anasema huwa anatumia mitandao ya kijamii kutangaza bidhaa zake, hivyo kupata wateja wapya kutoka sehemu mbalimbali hata nje ya Dar es Salaam. Vilevile, anasema kuna wakati hulazimika kupita duka kwa duka ili kutafuta wateja wapya wa bidhaa zake bila kujali ni umbali kiasi gani atakaolazimika kutembea.

Katika malengo yake aliyojiwekea anasema anataka kuona biashara yake inakua na kuwafikia wateja wa ndani na nje ya mkoa kwa wakati muafaka na kuwa na mawakala wa usambazaji kila mkoa ndilo jambo analoliwaza. Mwanzo Habari Makala. Pia Soma.

aisha masanja

Aliyeanguka kituo cha basi akijieleza kwa polisi azua taharuki Mwanza Shughuli za kupandisha na kushusha abiria pamoja na biashara nyingine, jana zilisimama kwa muda.Kiatu Media. Home Mawasiliano Download Nyimbo. Hasna Juma Masauti. Tasnia ya Taarabu imekuwa ikipanuka kila kukicha na ndio maana miaka ya hivi karibu tumekuwa tukishuhudia wasanii kadhaa wa bongo fleva wakihamia huko.

Hasna Juma "Masauti" ni jina lililozoeleka katika Bongo fleva hasa katika kambi ya mkubwa Fella pale TMK, lakini leo hii ukienda Ikweta Grill utamkuta akiwa na kundi zima la G5 Modern Taarab akifanya mazoezi na wenzake.

Hasna ameshawahi kutoa wimbo katika Bongo fleva na kutamba sana tu!. Wimbo uliitwa "Smile akimshirikisha Young Fanny". Share to Twitter Share to Facebook. Thabit Abdul sasa hii njaa!!! Huyu ndio Thabit Abdul. Hapa akirekebisha shairi wakati akitengeneza nyimbo. Thabit Abdul alikutwa na mwandishi wa mtandao huu wa taarabuzetu.

Kweli U-Director kazi Hongera sana mkubwa!! Bendi ya King's Modern Taarabu, leo hii imefanikiwa kurekodi nyimbo zake tatu 3. No Discussion - Muimbaji Salha Abdallah. Sikuumbwa Mnisimange iliyoimbwa na chipukizi Sophia Yahya. Salha wa Hammer Q. Mr Hamis Majaliwa alisema huo ni ujio mpya wa King's, na akaomba wapenzi wa Taarabu wajiandae kupata vibao vizuri na murua kabisa. King's ni miongoni mwa bendi zilizoingia katika shindano la Kilimanjaro Music Awards na ilishindania bendi bora ya Taarabu lakini haikubahatika kushinda, ila wamejipanga vyema kuleta ushindani na ameahidi lazima mwakani wafanye vyema zaidi.

Picha mbalimbali King's wakiwa wanarekodi Hassan Ally na Aisha Vuvuzela akipiga pozz!! Maneno na Omary Kisila wakipapasa Vinanda. Omary Kisilaakisababisha Silva Mundele akiwa na Mrisho Rajabu.Kiatu Media. Home Mawasiliano Download Nyimbo. Albam hiyo ambayo ina nyimbo tano:- 1.

Domo la Udaku muimbaji "Jokha kasim", 2.

aisha masanja

Behind the scene muimbaji "Nyawana Fundikila", 3. Wewe si daktari wa mapenzi muimbaji "Nassoro Hussein" 4.

Union secretary duties

Mwanamke hashuo muimbaji "Shinuna Kasimu" na 5. Ubaya una mwisho muimbaji Aisha Masanja. Mkurugenzi wa T Moto, Amini Salmini kushoto na muimbaji wa kundi hilo, Jokha Kassim Mnyetishaji wa habari hizi aliuambia mtandao wa taarabuzetu.

Sisi kama wadau, taarabuzetu. Wasanii wengi wa musiki "kama sio wote" wanalia sana na hili swala la wizi wanasema wizi hao na hata kama wakikamatwa wamekuwa hawapewi adhabu kali ili wasirudie!.

Share to Twitter Share to Facebook. Newer Post Older Post Home. Idadi ya Waliotembelea. Search This Blog. Julius Kambarage Nyerere. Tutakukumbuka Daima Jiunge nasi Zilizosomwa zaidi Ile nyimbo iliyoripotiwa hapo awali kufutwa katika studio aliyokuwa katumia kuirekodi Kepteni Temba, sasa ipo hewani baada ya kubadir Thabit Abdul sasa hii njaa!!!

Nyimbo:- Nipo kamili nimejipanga - Nyawana Matasht Huyu ndio Nyawana Kais mjukuu wa Chief Wasanii mbalimbali wamuaga Juma Mgunda Hashim Said wa Mashauzi Classic alia na Walimwengu Isome Status ya Salha Wa Hammer alivyoandika katik Hammer Q Kuachia Video ya "Tunapendana".

Off - Side Trick yapagawisha Bukoba. Bendi ya G5 Modern Taarabu kutambulishwa leo TarehKiatu Media. Home Mawasiliano Download Nyimbo. Tuesday, March 25, Pongezi:- Aisha Masanja kwa kupata mtoto Aisha Masanja Mama Blog hii ya taarabuzetu. Share to Twitter Share to Facebook. Muimbaji wa bendi ya kingeke modern taarab yenye makazi yake mkoani morogoro aitwae Shamila Hamisi amefiwa na baba yake mzazi ktk ajari ya gari iliyotokea mkoani mbeya juzi.

Akizungumza na mtandao huu afisa habari wa bendi hiyo ametoa pole kwa niaba ya wasanii wote wa kingeke na uongozi kwa ujumla.

Sisi taarabuzetu pia tukiwa kama wadau tunatoa pole kwa msanii huyo kuondokewa na baba yake kipenzi mzee Hamisi bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihidimiwe. Wakati huo huo bendi hiyo ya kingeke ipo ktk mchakato wa kurekodi nyimbo zao mpya kabisa hivi karibuni kwahiyo wadau na wapenzi wa taarabu wa morogoro na tanzania kwa ujumla wakae mkao wa kupata vitu vizuri toka kwao. Malkia wa Mipasho Tanzania Bi. Khadija Kopa.

Samira na Aisha. Kundi la G5 Modern Taarab limefwatua nyimbo 4 mfululizo na kuomba mashabiki wazisikilize. Nyimbo zilizotolewa ni pamoja ni ulioimbwa kwa ushirikiano na Muumini Mwinjuma. Nyimbo aliyoimba Muumini inakwenda kwa jina la Kigodoro Kimeloa ambayo tuliwawekea mashabiki na tunaamini mmeisikiliza na kuifurahia. Prince Mwinjuma Muumini. Hatimae Muumini Mwinjua atoa nyimbo yake ambayo ameiimba kwa miondoko ya Taarab. Wimbo: Kigodoro Kimeloa.

Salha na Mwanae hapo pembeni!! Msanii, mwimbaji mahili katika miondoko ya Taarab Tanzania Salha wa Hammer Q leo ameleta furaha ya ndoa katika nyumba kwa kujifungua mtoto wa kike.

Baba wa mtoto Hammer Q ambaye ni msanii wa kundi la mduara la Offside Trick aliiambia taarabuzetu. Newer Posts Older Posts Home. Idadi ya Waliotembelea. Search This Blog. Julius Kambarage Nyerere. Tutakukumbuka Daima Jiunge nasi Zilizosomwa zaidi Ile nyimbo iliyoripotiwa hapo awali kufutwa katika studio aliyokuwa katumia kuirekodi Kepteni Temba, sasa ipo hewani baada ya kubadir Ajali ya kukumbukwa: Five Star Modern Taarab Feedjit Calendar.

Powered by Blogger.


Nikole

thoughts on “Aisha masanja

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top